Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTOBLOGA MITAANI LEO, LUGHA GONGANA AMA VEEPE?

Jamani hivi hapa ni lugha gongana ama vipi, Kibao hiki (kushoto) kinasema hapana njia hapa lakini kwa macho yangu yananionyesha njia ipo na ndiyo anayopita huyu mdada (kulia).Hivi kama mtoa tangazo hili alikuwa na nia ya zuio la kupita hapa alipaswa kuandikaje tangazo lake???
Mpita njia akipita eneo la Reli katika Mtaa wa Malindi jijini Dar es Salaam, pamoja na kuwa eneo hilo limewekwa kibao cha kuzuia njia hyo kutumika. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.