Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO MITAANI LEO, KARIBUNI SILAA ZA JADI

Mfanyabiashara wa silaa za jadi, ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja,akiwa na mzigo wa Mikia ya Taa inayotumika kama silaha, kama alivyokutwa na mpiga picha maeneo ya Mnazi Mmoja jijini Dares Salaam, akitafuta wateja. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.