Habari za Punde

KIFIMBO CHA MALKIA CHATEMBEZWA DARAJA LA NYERERE KIGAMBONI

Kaimu Meneja wa Miradi wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamaii (NSSF), Radhia Tambwe akiwa ameshikilia kifimbo cha Malkia baada ya msafara wa Kifimbo hicho kufanya ziara katika Daraja la Kigamboni.
******************************
Kifimbo cha Malkia wa Uingereza maarufu (Qeens Baton) chatembezwa katika maeneo mbalimbali ya Daraja la Nyerere jijini Dar es salaam, Uongozi wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamaii (NSSF) uliupokea msafara unaokitembeza Kifimbo hicho ambacho kinatarajiwa kuzungushwa maeneo mbalimbali ya Dar esalaam na Arusha.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakikitembeza kifimbo cha Malkia kitika maeneo mbalimbali ya Daraja la Nyerere.
Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF wakikitembeza kifimbo cha Malkia baara ya kutembezwa katika maeneo mbalimbali ya Daraja la Nyerere.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.