Habari za Punde

KILIVYONUKA LEO MKUTANO WA CUF, MMOJA AKATWA MGUU CHEKI HAPA

Mtuhumiwa aliyekamatwa na kuvunjwa mguu (kushoto) akiwa anapambana, kujaribu kujinasua.
akiwa chini ya ulinzi mara baada ya kudhibitiwa na wananchi kisha kumkata mguu na kushindwa kutembea.
Mtuhumiwa kutoka kambi ya Lipumba amabye amekatwa mguu akiugulia maumivu mara baada ya kujeruhiwa.
Wanachama wa chama cha Wananchi Cuf wakipambana na wenzao huku wakisaidina na meneja wa hoteli baada ya kuvamia mkutano wao na waandishi wa habari uliofanyika katika Hotel ya Vinna Hotel, iliyopo Mabibo jijini Dar esSalaam, leo asubuhi.
Wakati mkutano huo ukiendelea, kambi nyingine ya Chama hicho Wananchi CUF,  ilipovamia na kuvuruga mkutano huo na kuzua taharuki kubwa kwa waandishi wa habari na baadhi ya wakazi wa eneo hilo.
Baada ya kufanikiwa kuvuruga mkutano huo baadhi ya watu waliokuja kufanya vurugu walikimbia na wengine kubaki ambao wanaonekana pichani kisha kukimbizwa na wanachi wenye hasiara kali na kumjeruhi kwa kumkata maungio ya kisigino ya mguu wake wa kulia, kijana mmoja aliyekamatwa.
Mapambano yanaendelea.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.