Habari za Punde

KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE LAFANYIKA LEO DAR

 Rais wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa akiendesha Kongamano hilo leo kwenye Ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya washiriki wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa na baadhi ya viongozi.
 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM, Hamphrey Polepole, akizungumza katika Kongamano hilo.
 Getrude Mongela akizungumza katika Kongamano hilo...
 Mzee Mkama akiwa ni miongoni mwa washiriki katika Kongamano hilo.
Benjamini Mkapa akiagana na baadhi ya washiriki baada ya picha ya kongamano hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.