Habari za Punde

KUJITONYAMA VETERANS YAICHAPA NATIONAL VETERANS 2-1 KWAO

 Beki wa Kijitonyama Veterans, Chacha Marwa (kulia) akiwania mpira na mchezaji wa National Veterans, Saleh Bakari, wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa jana kwenye uwanja wa Tandale Shule ya Msingi. Katika mchezo huo Kijitonyama walishinda mabao 2-1. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Huu siyo mchezo wa Kung Fu bali ni soka beki (kulia) na mshambuliaji wakipambana.
 Wachezaji wa Timu ya Kijitonyama Veterans na National Veterans ya Tandale, wakiwa uwanjani wakicheza mechi ya kirafiki huku Mwendesha Pikipiki akikatiza katikati ya Uwanja bila kujali hatari inayoweza kutokea. Katika mchezo huo Kijitonyama Veterans walishinda mabao 2-1.
 Hatari lakini salama.
 Ngwesa akichanja mbuga
 Rama (kulia) akijaribu kumtoka beki wa National

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.