Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais TAMISEMI Mhe. Luaga Mpina akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Nanyamba (CCM) Mhe. Abdallah Dadi Chikota akiuliza swali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Mlalo(CCM) Mhe. Rashid Shangazi akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Mbunge wa Kinondoni (CUF) Mhe. Maulid Said Mtulia akiuliza swali katika kikao cha saba cha Mkutano wa nane wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tazania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Abdallah Bulembo katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akitoa taarifa kwa Bunge kuhusu mauaji ya askari wanane yaliyotokea siku ya Alhamisi wiki iliyopita Kibiti Mkoani Pwani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju wakifuatilia shughuli za kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Watendaji kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI na Utumishi na Utawala Bora wakifuatilia kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017.
Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 18, 2017. 
Picha na Raymond Mushumbusi Dodoma MAELEZO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.