Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA MTANANGE WA NUSU FAINALI SIMBA VS AZAM JANA

 Mshike mshike kati ya mabeki w Azam Fc na mshambuliaji wa Simba, Loudit Mavugo, jana ambapo Simba walishindabao 1-0.
 Sure Boy (kulia) akipeana 'tano' na Ajib kabla ya mchezo ambapo dkika chache baadaye baada ya mchezo kuanza Sure Boy alipata kadi nyekundu kwa kumchezea swahiba yake huyu Ajib.
 Kikosi cha Simba
Kikosi cha Azam Fc
 Cheki roba hii kali....
 Vijana waokota mipira uwanjani wakitetemeka kwa baridi kutokana na mvua iliyokuwa ikiendelea kunyeshwa wakati wa mchezho huo. Watoto hawa wanatakiwa kununuliwa makoti ya mvua na hasa kwa nyakati kama hizi 'Line koti'.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.