Habari za Punde

MWANAHABARI ISANGO AFARIKI DUNIA

HABabari zilizoufikia mtandao huu, zinasema kuwa Mwanahabari wa Gazeti la Tanzania Daima, JOSEPHAT ISANGO, amefariki dunia huko mkoani Singida.

Katika Uhai wake marehemu ,aliwahi kufanya kazi kwenye Vyombo mbalimbali vya habari kama, TANZANIA DAIMA, MWANAHALISI.

Mungu ilaze roho ya marehemu Isango mahala pema peponi Amen

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.