Habari za Punde

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA CCM

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake (UWT)  Anna N. Makillagi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole baada ya kukutana nao Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole akiongea baada ya kikaohicho.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.