Habari za Punde

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM BARA RODRICK MPOGOLO ZIARANI KIGOMA
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akizungumza na viongozi na watendaji mbalimbali wa CCM wilaya na Mkoa wa Kigoma, wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali ya chma hicho mkoani humo, jana. 

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo, akionyeshwa miradi ya CCM na Katibu wa CCM , Naomi Kapambala, wakati alipokuwa akitembelea kukagua miradi mbalimbali ya CCM mkoani Kigoma, jana.

Mpogolo akivishwa skafu na Kamanda wa CCM baada ya kuwasili eneo hilo kwa ziara mkoani Kigoma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.