Habari za Punde

NAIBU SPIKA AKUTANA NA CHAMA CHA WANASHERIA WA TANGANYIKA (TLS) MJINI DODOMA

Viongozi wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) wakiwa pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakijadiliana masuala mbalimbali viongozi hao walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu na ujumbe wake walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Mhe.Tundu Lissu akimueleza jambo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS.
Makamu wa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Godwin Ngwilima akifafanua jambo Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson alipofika kumtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma pamoja na viongozi wengine wa TLS. 
PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.