Habari za Punde

RAIS DKT. MAGUFULI AONDOKA MKOANI DODOMA NA KUELEKEA MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari yake ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakati wakati akielekea kwenye ndege tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo nchini(TBA) Elius Mwakalinga kabla ya kuondoka mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma. Wakwanza kulia Katibu Mkuu wa Wizara wa Fedha Doto James, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa. Kikao hicho pia kiliwahusisha Viongozi wa CDA, Manispaa ya Dodoma pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji hao kabla ya kuondoka mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na watendaji mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi(hawapo pichani) kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu mji wa Dodoma kabla ya kuondoka na kuelekea mkoani Kilimanjaro.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kuondoka kuelekea mkoani Kilimanjaro.
RAIS DKT. MAGUFULI  ALIPOWASILI KILIMANJARO
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro tayari kwa ziara ya siku tatu mkoa wa Kilimanjaro ikiwa ni pamoja na kuongoza sherehe za wafanyakazi za Mei Mosi. Rais Magufuli amewasili leo Aprili 29, 2017 mkoani Kilimanjaro akitokea Mjini Dodoma.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.