Habari za Punde

SIMBA YATANGULIA FAINALI KUSUBIRI YANGA AU MBAO

 Mabeki wa Azam Fc Stephan Kingue (kushoto) na Daniel Amoah, wakimdhibiti mshambuliaji wa Simba SC Mzamiru Yassin, wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la shirikisho, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Ktika mchezo huo Simba wameibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na Mohamed Ibrahim, aliyemalizia krosi nzuri ya Loudit Mavugo katika dakika ya 48.

Kikosi cha Simba, Mchezo wa pili wa nusu fainali unachezwa kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza ,ambapo Mbao Fc atakuwa ni mwenyeji wa Yanga SC. KWA MATUKIO YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.