Habari za Punde

UBA YATOA VYETI KWA WADAU WALIOPATA RUZUKU ZA MRADI

Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akizungumza na wanufaika wa maradi wa kuandika mawazo ya biashara ambao wapo hapa nchini juu ya namna watakvyoweza kushirikiana na Benki ya UBA katika kukuza biashra zao mpaka nje ya mipaka ya Tanzania.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Hurbert Mwashiuya juu kama mnufaika wa mradi mara baada ya kupata ruzuku.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akikabidhi cheti kwa Bi , Aika Mtei kma mmoja wa wanufaika wa ruzuku mara baada ya kuandika mradi juu ya biashara katika mtandao.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwaeleza watendaji wa Benki ya UBA juu ya umuhimu wa kuwasaidia wanufaika hao hili waweze kuwa mfano kwa wengine.
Mkurugenzi wa Bank ya UBA Tanzania, Peter Makau akiwa katika picha ya pamoja na wanufaika na baadhi ya watendaji wa beki hiyo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.