Habari za Punde

WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI (CAG)

 Mtoa mada Prof. Honest Ngowi, kutoka Chuo cha Mzumbe, akito mada wakati wa Mkutano mfupi wa Wadau uliokuwa ukijadili Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2015-2016, uliofanyika kwenye Ukumbi Seashells Millenium Makumbusho jijini Dar es Salaam, jana.
Washiriki wakisikiliza mada iliyokuwa ikiwasilishwa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.