Habari za Punde

WAFANYABIASHARA WA MTAA WA TANDAMTI KARIAKOO WATAABIKA NA MVUA DAR

Wafanyabiashara wadogo wadogo wa mbogamboga, katika Mtaa wa Tandamti Karikoo jijini Dar es Salaam, wakisukuma maji kuzibua mitaro ya maji machafu iliyoziba kutokana na mvua zilizonyesha jijini jana. 
Wakiendelea kusukuma maji.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.