Habari za Punde

WASANII WA BONGO MOVIE WAANDAMANA DAR KUPINGA SOKO LA MOVIE ZA NJE NCHINI

 Wasanii wa Bongo Movie, wakiwa wamekusanyika eneo la Mtaa wa Magila Kariakoo Dar es Salaam, mchana wa leo wakati wakiandamana kuwapinga wafanyabiashara wa CD za Movie za nje ambazo wamedai zinashusha soko la Movie za Kitanzania, ambapo katika zoezi hilo lililoendeshwa na Mkuu wa Mkoa, Wafanyabiashara wa Cd hizo pia wameonekana kupiga agizo hilo wakimtaka mkuu wa mkoa kufikiri upya wakidai kuwa Cd za nje ndizo zenye soko zaidi na kuwataka wasanii wa Bongo Movie kuboresha kazi zao ili kuendana na soko la wahitaji.
 Wasanii hao wakiandamana
 Wasanii hao wakiandamana
 Wasanii hao wakiandamana
Wasanii hao wakimsikiliza mkuu wa Mkoa.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.