Habari za Punde

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, SPIKA WA NDUGAI WAWAONGOZA WABUNGE KUAGA MWILI WA DKT. ELLY

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Marehemu Mhe.Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wakisubiri kupokea mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Marehemu, Elly Marko Macha katika viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma.
Mchugaji wa kanisa la KKKT Dodoma akiongoza ibada fupi ya kumwombea Marehemu Mhe.Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge,Mjini Dodoma.
Spikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson, Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe na Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama wakiwa katika viwanja vya Bunge tayari kwa Ibada fupi ya kumuombea Marehemu, Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA).
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni  Freeman Mbowe akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya kambi ya upinzani kwa familia ya Marehemu, Elly Marko Macha, Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma. Kushoto kwake ni Viongozi mbalimbali wa Serikali na Bunge.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Serikali kwa familia ya Marehemu, Elly Marko Macha, Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) katika viwanja vya Bunge, Mjini Dodoma. Kushoto kwakeni Viongozi mbalimbali wa Serikali na Bunge.
Spikawa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya Bunge kwa familia ya Marehemu, Elly Marko Macha, Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA)
Baadhi ya Wabunge wakiwa katika viwanja vya Bunge Dodoma kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu, Elly Marko.
Spikawa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu, Elly Marko.
WaziriMkuu Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu, Elly Marko Macha (CHADEMA).
Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu, Elly Marko Macha (CHADEMA).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo , Harrison Mwakyembe akitoa heshima za mwisho.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura akitoa heshima za mwisho.
Familia ya marehemu, Elly Marko Macha (waliokaa mstari wa mbele), wakiongozwa na kaka wa marehemu, dada, na mtoto wa marehemu wakiwa katika viwanja vya bunge kwaajili ya ibada. 
Picha zote na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.