Habari za Punde

YANGA SC YAILAZA AZAM FC BAO 1-0 JIOOONI

Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa akipiga shuti na kufunga bao pekee katika mchezo wa leo dhidi ya Azam Fc kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni beki wa Azam Fc,Yakubu Mohamed, akijaribu kumzuia bila mafanikio. Katika mchezo huo Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0. na kufikisha jumla ya pointi 56 wakiwa mbele kwa pointi moja na watani zao Simba.
 Simon Msuva wakimtoka Ramadhan Singano
 Mashabiki wa Yanga wakishangili bao la Chirwa. KWA HABARI KAMILI NA MATUKIO YA PICHA ZA MTANANGE HUU KAA NASI HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.