Habari za Punde

BENKI YA NMB WAZINDUA HUDUMA MPYA YA FANIKIWA ACCOUNT KWA WAJASIRIAMALI

 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kushoto) Mkuu wa Idara ya Biashara, James Meitaron (wa pili kulia) wakifunua kitambaa kuzinduzi rasmi huduma ya FANIKIWA ACCOUNT kwa ajili ya wajasiriamali wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa Biashara wa benki hiyo, Donatus Richard. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kushoto) Mkuu wa Idara ya Biashara, James Meitaron (wa pili kulia) wakifurahia  kwa pamoja baada ya kuzindua huduma ya FANIKIWA ACCOUNT kwa ajili ya wajasiriamali wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Mwandamizi wa Biashara wa benki hiyo, Donatus Richard.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya FANIKIWA ACCOUNT kwa ajili ya wajasiriamali. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika leo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mwandamizi wa Biashara wa benki hiyo, Donatus Richard.
 Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya FANIKIWA ACCOUNT kwa ajili ya wajasiriamali. Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika leo kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kushoto) ni Meneja Mwandamizi wa Biashara wa benki hiyo, Donatus Richard.
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kulia) akizungumza na baadhi ya wateja wajasiriamali wa Account hiyo.
 Maelekezo
 Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NMB, Ineke Bussermaker (kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron.
Wateja Wajasiriamali wakizungumza na waandishi wa habari.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.