Habari za Punde

BULEMBO ALIPOZUNGUMZA NA WANACCM,VIONGOZI WA MKOA WA MANYARA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo, akikabidhiwa Fimbo na Wazee, kama heshima ya Kiongozi Mkuu wa Kabila la Wamasai la Ulaigwanani, alipowasili katika ukumbi kwa ajili kuzunguza na Watendaji, Viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo mabalozi, katika mji mdogo wa Mererani mkoani Manyara, jana. akiwa katika ziara yake ya kuimarisha Chama.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo, akizungumza na Watendaji wa serikali, viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi, katika mji mdogo wa Mererani mkoani Manyara, jana.
Viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa CCM, Abdallah Bulembo alipozunumza nao katika mji mdogo wa Mererarini mkoani
Manyara jana. Picha na Bashir Nkoromo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.