Habari za Punde

CCM WAITAKA SERIKALI KUFANYA KITU KUHUSU MAUAJI YA KIBITI

 Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam, leo kuhusu mauaji ya Kibiti Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani na kuiomba Serikali kutoa tamko kwa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuhusu mauaji hayo. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.