Habari za Punde

CHEKI HAPA PICHA 17 ZA MKALI GADDAF ALIYEPANIA KUREJESHA HADHI YA MCHEZO WA PIKIPIKI

 MWENDESHA Pikipiki za Kimichezo, Nassor Gaddaf, akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati akifanya mazoezi ya mchezo huo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, jana. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)
 Waendesha Pikipiki wa Kambi ya Kinondoni jijini Dar esSalaam, wakiwa katika mazoezi ya mchezo huo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packars Kawe jijini Dar es Salaam, jana.
MWENDESHA Pikipiki za Kimichezo, Nassor Gaddaf, akiwa hewani baada ya kuruka tuta wakati akifanya mazoezi ya mchezo huo kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam, jana.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.