Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, AJALI HAINA KINGA

Wakazi wa Mbezi Juu wakilishangaa Gari lenye namba za usajili T 295 DDQ, likiwa limetumbukia mtaroni eneo la Mnara wa Voda barabara ya Goba. Gari hilo lilitumbukia mchana kweupe ambapo imeelezwa kuwa baada ya ajali hiyo dereva alitokomea pasipo julikana. Haikuweza kufahamika chanzo cha ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.