Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, MVUA HIZI JANGWANI NI HATARI TUPU

 Vijana Bilal Mohamed (kushoto) na Khalfani Seleman watoto wa familia moja, wakitoa godoro ndani kwa ajili ya kuanika nje baada ya banda lao wanaloishi pembezoni mwa Mto Msimbazi eneo la Jangwani kujaa maji kutokana na mvua zinazoendele kunyesha jijini. Vijana hao wamedai kuwa wanaishi katika banda hilo wakisubiri fidia ya nyumba ya baba yao Mzee Hoza aliyehama hivi karibuni baada ya kuugua ghafla.
Ni hatari lakini salama.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.