Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Kina mama Ombaomba wakiwa na familia zao pembezoni mwa Barabara ya Bibi Titi jijini Dar es Salaam, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jana. Pamoja na jitihada za kujaribu kuwaondoa ombaomba katika maeneo ya katikati ya jiji, lakini wamekuwa wakiongezeka kila kukicha na kuongeza usumbufu kwa wapita njia na wakazi wa jijini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.