Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, UTUMBO WA KUKU KWETU TUNAKULAGA

Kina mama wafanyabiashara wa Kikundi cha Wakamua Utumbo wa Kuku, katika Soko la Mtambani jijini Kinondoni jijini Dar es Salaam, wakiwa bize kuandaa biashara yao ya Miguu, Utumbo na Vichwa vya Kuku kama walivyokutwa na Kamera ya Mafoto Blog leo mchna katika Soko hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.