Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, JANGWANI PANAVULIWA SAMAKI

Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akitandaza nyavu za kuvulia samaki katika maji yaliyojaa kwenye Uwanja wa Jangwani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.