Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, OMBAOMBA DAR NI KAMA KAWA

Hawa ni baadhi tu ya Kinamama wanaofanya shughuli ya kuomba msaada katika maeneo ya katikati ya jiji la Dar es Salaam, wakiwa pembezoni mwa barabara ya Bibi Titi pamoja na familia zao ambapo wengi wao wamekuwa wakiwatumia watoto wao kufanya shughuli hizo huku wao wakisubiri pembeni kupokea mapato.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.