Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Wafanyabiashara wa vyakula na mbogamboga nje ya soko la Buguruni Dar es Salaam, wakiwa katika hali isiyo salama kwa kufanya biashara katika mazingira yasiyo rafiki baada ya eneo lao kujaa maji machafu yaliyotuama kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.