Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, JANGWANI HAPAFAI

Nyumba zilizopo mitaa ya Jangwani jijini Dar es Salaam, zikiwa zimezungukwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini.
Mkazi wa Mtaa wa Jangwani jijini Dar es Salaam, akiwa na familia yake kwenye kibaraza cha nyumba yao iliyozungukwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.