Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, HATAREEEE

Mtoto wa mitaani ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja akiwa amedandia nyuma ya Bajaji wakati ikiwa katika mwendo kama alivyokutwa na mpiga picha kwenye Barabara ya Uhuru jijini Dar es Salaam, jana jambo ambalo ni hatari kwa usaalama wake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.