Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Wafanyakazi wa Kampuni ya Udalali ya Tambaza, wakiwa ndani ya gari aina ya Carry lenye namba za usajili T 393  DCA, huku wakiwa na baadhi ya Pikipiki walizozikamata mitaani kama walivyonaswa na Kamrema ya Mafoto Blog, eneo la Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam, jana. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.