Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, UHARIBIFU WA MAZINGIRA

Vijana wakichimba mchanga kwenye Mto Msimbazi eneo la Magomeni Mzimuni, jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog jana. Pamoja na serikali kupiga marufuku uchimbaji hovyo wa mchanga lakini bado kumekuwa na vijana wengi nyakati za mvua kuchimba kiholela mchanga katika mito jambo ambalo linasababisha uharibifu wa mazingira.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.