Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, BARABARA YA KEKO NI BAHARI???

Dereva wa daladala lenye namba za usajiri T 159 BFU (kushoto) na wa gari ndogo lenye namba za usajili T277 CLD, wakizungumza kukubariana baada ya kugongana katikati ya Dimbwi kubwa na maji yaliyotuama katikati ya barabara eneo la Keko . Eneo hilo limeharibika na kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, na kusababisha msongamano wa magari eneo hilo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.