Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO, PILIPILI 'MUBASHARA'

Wafanyabiashara wa Pilipili ya kupika wakisubiri wateja nje ya Soko la Kivukoni eneo la Kituo cha Mabasi ya Mwendo kasi, kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jijini Dar es Salaam, jana. Kina mama hao wameulalamikia uongozi wa Soko hilo kwa kuwaamuru walinzi shirikishi kuwafukuza eneo hilo na wengine kuwanyang'anya biashra zao kwa madai ya kutowahitaji katika eneo hilo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.