Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO MITAANI LEO, UCHIMBAJI WA MCHANGA, UHALIBIFU WA MAZINGIRA

Marundo ya mchanga unaochimbwa kwenyw mto Msimbazi eneo la Jangwani Dar es Salaam, yakiwa yamekusanywa tayari kusubiri wateja. Mchanga huo huchimbwa na vijana katika mto huo na hasa nyakati za mvua bila kijali uhalibifu wa mazingira. Licha ya Serikali kupiga marufuku uchimbaji holela wa mchanga lakini bado biashara hiyo imezidi kushika kasi na hasa nyakati kama hizi za mvua
 Vijana wakiwa bondeni huku pakiwa na marundo ya mchanga uliochimbwa katika mto huo.
Marundo ya mchanga yakisubiri wateja. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.