Habari za Punde

KAMPUNI YA ZOLA YAZINDUA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA KAMPUNI YA TOTAL

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Zola Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Juma Iddy (kushoto) na Irene, wakionyesha jinsi ya kutumia mashine za Zola Power kuchaji simu na matumizi mengine ya umeme wakati wa uzinduzi wa mashine hizo na kutangaza ushirikiano wa kibishara kati yao ya Kampuni ya mafuta ya Total. Uzinduzi huo ulifanyika leo mchana kwenye Kituocha cha Total kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Zola Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Juma Iddy, akionyesha jinsi ya kutumia Zola Power kuchaji simu na matumizi mengine ya umeme wakati wa uzinduzi wa mashine hizo na kutangaza ushirikiano wa kibishara kati yao ya Kampuni y mafuta ya Total. Uzinduzi huo ulifanyika leo mchana kwenye Kituo cha Total kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 
 Maelekezo yakiendelea
 Maelezo ya matumizi ya mashine hiyo yakiendelea
 Meneja Mauzo wa Kampuni ya Zola Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Juma Iddy, na Ofisa wa Total, Ruben Emmanuel,wakitoa maelekezo. 
 Wakati wa maandalizi ya uzinduzi huo.
 Jinsi mashine hiyo inavyoonekana baada ya kufungwa baadhi ya vifaa
Maelekezo ya matumizi

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.