Habari za Punde

KAMERA YA MFOTO BLOG MITANI LEO

Mabanda yakiwa yamejingwa pembezoni mwa ukingo wa ukuta wa kuzuia maji ya Mto Msimbazi eneo la Jangwani, ambayo hukaliwa na baadhi ya waliokuwa wakazi wa eneo hilo kabla ya kubomolewa nyumba zaao ambao wengine wamebaki maeneo hayo wakidai kusubiri kulipwa fidia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.