Habari za Punde

KUTOKA UWANJA WA TAIFA, SIMBA WANAONGOZA MABAO 2-1

Kipa wa African Lyon, Rostand Youth, akiokota mpira langoni kwake baada ya kufungwa bao la kwanza katika kipindi cha kwanza, lililofungwa na Ibrahim Ajib katika dakika ya 38. Hivi sasa Simba wanaongoza mabao 2-1 huku bao la pili mabeki wa African Lyon wakijifunga katika dakika ya 58 kipindi cha pili

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.