Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS, WAZIRI MKUU WASHIRIKI MEI MOSI KITAIFA MKOANI KILIMANJARO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo 01/5/ 2017 Katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP. Dr Reginali Mengi walipokuwa katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kilimanjaro leo 01/5/ 2017 katika viwanja vya Chuo cha Ushirika mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya Wabunge wakiwa pamoja na watumishi wa Serikali katika Sherehe za Mei Mosi zilizofanyika kitaifa mkoani Kilimanjaro leo katika viwanja vya Chuo cha Ushirika Mkoani Kilimanjaro
Wafanyakazi wa Kiwanda Chakutengenza Sukari (TPC) Wakipita Kwa maandamo mbele ya mgeni Rasimi Rais Dr John Magufuli ikiwa ni ishara ya kusheherekea Maadhimisho ya Sikukuu ya wafanyakazi Duniani ambapo Tanzania Kitaifa yamefanyika mkoani Kilimanjaro. PICHA NA PMO

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.