Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA MTANANGE WA SIMBA vs AFRICAN LYON

 BEKI wa African Lyon, Hamadi Waziri, (kushoto) akimzuia mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita. 
 Beki  wa Simba, Janvier Bukungu (kushoto) akichuana kuwania mpira na Omary Abdallah, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Beki wa African Lyon, Miraj Adam,  akiruka kuokoa mpira huku akizongwa na Mohamed Ibrahim, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Beki wa African Lyon, Hamadi Waziri, (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Simba, Mohammed Ibrahim, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Kiungo wa Simba, Ibrahim Ajib (katikati) akipiga shuti na kuifungia timu yake bao la kuongoza katika dakika 38 ya kipindi cha kwanza, bada ya kuwapangua mabeki wa African Lyon, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Kikosi cha African Lyon
Kikosi cha Simba

Kocha wa Simba akizungumza na kipa wa African Lyon baada ya kumalizika kwa mchezo huo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.