Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA MTANANGE WA YANGA vs KAGERA SUGAR JANA

 Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva, akipiga mpira katikati ya mabeki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakii (kulia) na Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.  Katika mchezo huo Yanga walishinda mabao 2-1 na kufikisha Pointi 62 sawa na Mahasimu wao Simba, huku wakitofautiana kwa mabao.
 Mshambuliaji wa Yanga SC, Simon Msuva, akipiga mpira katikati ya mabeki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakii (kulia) na Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. 

Niyonzima akimfinya Ame Ally
 Mwashiuya akijaribu kupenya katikati ya msitu wa Kagera Sugar
 Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akipiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
 Ilikuwa hapatoshi kati ya Chirwa na Fakii
 Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa akiwania mpira na beki wa Kagera Sugar, Mwaita Gereza, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana. 
Kipa wa Kagera Sugar, Juma Kaseja, akiruka kuokoa mpira wa hatari langoni kwake, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.  KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 Chirwa akijilaumu baada ya kuksa bao la wazi
 Wote chini na bado Chirwa alikosa bao la wazi
 Mabeki wa Kagera wakiduwaa baada ya mpira kupenya katikati yao
 Mbaraka Yusuph (katikati) na Ame Ally (kulia) wakimdhibiti Juma Abdul
 Juma Abdul, akipiga krosi
 Beki wa Yanga, Hassan Kessy, akipiga krosi, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jana.
 Viongozi wa Kagera Sugar wakimzonga mlinzi wa uwanjani baada ya mchezo huo
 Askari wakijaribu kuwazuia Viongozi wa Kagera Sugar
 Mbara Yusuph akilalamika baada ya kupewa kadi nyekundu
 Mbaraka akisindikizwa na walinzi baada ya kupewa kadi nyekundu
 Msuva akishangilia bao lake

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.