Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI KIKAO CHA 16 CHA BUNGE MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Eng.Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira wakifurahia jambo katika kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017. 
Mbunge wa Bagamoyo(CCM) Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017. 
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.