Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA MBAO VS SIMBA HAPATOSHI

 Sehmu ya mashabiki wa soka wakiwa katika msongamano wa foleni kuingia uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kushuhudia mchezo wa fainali za FA kati ya Simba na Mbao unaoanza muda mchache ujao.
 Mashabiki wa Simba wakiamsha amsha
 Baadhi ya mashabiki waliofanikiwa kuingia ndani ya uwanja huo hadi sasa
 Jukwaa la mashabiki wa Simba likiwa tayari limefurika

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.