Habari za Punde

MATUKIOKATIKA PICHA YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 24, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
 Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara yake leo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
  Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani KIkwete akizungumza jambo na wabunge wenzie katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma.
 Mbunge wa Hanang’ Mhe.Mary Nagu  akizungumza jambo na Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Martha Umbulla katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma 
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Suleiman jafo katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma 
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashitu Kijaji akizungumza jambo na Mbunge wa Chemba Mhe.Juma Nkamia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma 
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe.Hussein Bashe akisoma Taarifa ya Kamati hiyo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia  katika  kikao cha Ishirini na nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma. Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.