Habari za Punde

MICHUANO YA UMISETA KUANZA WIKI IJAYO JIJINI MWANZA

Rais wa  Taasisi ya Kilimanjaro Dialogue, Ali Yakiz (kulia) akimkabidhi jezi ya michezo Afisa Elimu wa Manispaa ya jiji la Dar es Salaam, Hamisi Lissu kwa ajili ya michuano ya Umoja wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISSETA) inayotarajiwa kuanza wiki ijayo jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.