Habari za Punde

MKUTANO WA 18 WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI EAC, RAIS MAGUFULI AKABIDHI KIJITI KWA RAIS MUSEVEN

 Mwenyekiti wa EAC aliyemaliza muda wake Rais Dkt. John Magufuli (kushoto) na Mwenyekiti mpya Rais Museven, wakisaini maazimio ya Kikao cha ndani wakati wa mkutano wa 18 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam. Kwa habari na picha zaidi kaanasi hapo baadaye
 Washiriki
Washiriki kutoka nchi za EAC

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.