Habari za Punde

MKUTANO WA AFYA WA SIKU TATU WA KUJADILI DAWA ZA USINGIZI KWA WAGONJWA

 Mhandisi Mkuu wa Kampuni ya Anudha Ltd, Jonathan Meek (kulia) na Soko Protus wakiandaa mashine ya usingizi 'Nusu Kaputi) yenye uwezo wa kufanya kazi katika mazingira yeyote nchini, kwa ajili ya maonesho katika Mkutano siku tatu wa Afya wenye lengo la kujadili Dawa za Usingizi kwa wagonjwa ulioshirikisha madaktari na wataalamu kutoka mataifa mbalimbali ulioanza jana kwenye Ukumbi wa LAPF Makumbusho jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.